preloader

Katika eneo hili tunakuletea taarifa za fursa mbalimbali kama vile elimu bora, upatikanaji wa rasilimali, na mazingira yanayowezesha kujifunza na kukuza ujuzi.

fursa
  • Post:Mkutano Wa Kimataifa Wa Vijana 2025 (Ufadhili Hadi Afrika Kusini)"
  • Date:2025-04-16 07:53:48

Mkutano Wa Kimataifa Wa Vijana 2025 (Ufadhili Hadi Afrika Kusini)"

ATKV × Global Changemakers – Mkutano Wa Kimataifa Wa Vijana 2025 (Ufadhili Hadi Afrika Kusini)"

ATKV Pamoja Na Global Changemakers Inawaleta Pamoja Vinara Kutoka Pande Zote Za Dunia Kushiriki Katika Mkutano Wa Kimataifa, Wenye Lengo La Kuwapa Mafunzo Ya Uongozi, Ubunifu Na Kushirikiana Katika Kazi Huko Cape Town Nchini Afrika Kusini.

Maombi Yanapokelewa Kuanzia Tarehe 1 Hadi 25 Aprili Kwa Waombaji Wa Kimataifa, Na Tarehe 1 Hadi 25 Mei Kwa Waombaji Kutoka Afrika Kusini."

"Hii Ni Fursa Adimu Kwa Vijana Wenye Ndoto Kubwa, Usiikose.

#GYS2025

#GlobalChangemakers

Tuma Maombi Hapa:

https://opd.to/42iRnG9 

 

Fursa Nyingine

Chat Bot Muulize Zuri