preloader

Panda Chat ni kipengele kipya kilichopo kwenye jukwaa la Panda Digital, kinachowakutanisha wajasiriamali wasichana na wataalamu mbalimbali ili kukabiliana na changamoto wanazokabiliana nazo katika biashara zao. Wazo la kuanzisha lilitokana na ukweli kwamba kuanzisha biashara ni jambo moja, lakini kuendesha biashara inaweza kuwa changamoto tofauti kabisa. Kipengele hiki kipya kwenye jukwaa la Panda Digital Kinawaleta pamoja wajasiriamali vijana wanawake na wataalamu mbalimbali ili kutatua changamoto wanazokabiliana nazo katika uendeshaji wa biashara zao.Ubunifu huu unaunda jamii inayounga mkono jitihada za wasichana na wanawake vijana kuweza kuungana, kujifunza, na kushirikiana ili kuondokana na vikwazo katika safari zao za ujasiriamali. Kupitia Panda Chat, washiriki wanaweza kushiriki katika mazungumzo, kushirikiana mawazo muhimu, na kutafuta mwongozo kutoka kwa wataalamu wenye uzoefu. Panda Chat ni ya kipekee zaidi sababu inatoa huduma za bure na za kulipwa, kuhakikisha upatikanaji kwa wote, bila kujali vikwazo vya kifedha. Jukwaa hili linaonyesha dhamira yetu ya kuwawezesha wasichana wajasiriamali na kukuza mafanikio yao. Jiunge na Panda Chat leo na ufungue fursa nyingi za kuongeza ujuzi wako wa biashara na kupata suluhisho kwa changamoto zako za ujasiriamali.

Panda Chat
  • Jina:Carol Ndosi

Online Marketing and Digital Skills- Google Digital Garage Design Thinking Process Certified Facilitator & Coach - D School, University of Capetown ACHIEVEMENTS Super Woman Awards - Digital Inclusion Malkia Wa Nguvu Awards- Woman of Influence 2018 Mwanamke Wa Shoka Awards – EFM 2017 Emerging Female Leaders Awards- Amazons Watch Magazine 2017 Mandela Washington Fellow- Cohort 2016 Global Goals Champion with United Nations Tanzania Global Goalkeeper with Gates Foundation Africa Mentor and Coached 100 youth and women since 206 100 Tanzanian Sheroes Book Publisher and Founder Founder Women at Web Tanzania Initiative

Carol Ndosi

Ingia Ili Uweze Kuuliza Swali

Wataalamu Wengine

Post thumb

Kennedy Mmari

Kennedy ni mtaalamu wa mawasiliano ya kimkakati, masoko na mageuzi ya kidigitali kwa taasisi katika sekta binafsi na sekta ya maendeleo.

Soma Zaidi
Post thumb

Prudence Zoe Glorius

Prudence Glorious Is a Pan- African Tanzanian thinker, strategist, trusted advisor, volunteer, aesthete and writer. She is currently the Chief Purpos [...]

Soma Zaidi
Post thumb

Edmund Kasango Munyagi

Ni mfanyabiashara na mkufunzi wa usimamizi wa fedha binafsi. Kwa zaidi ya miaka miwili nimekuwa nikitoa mafunzo ya usimamizi wa fedha binafsi kupitia [...]

Soma Zaidi
Post thumb

Catherinerose Barretto

Invested in building inclusive ecosystems and nurturing human capital; with a strong focus on education and skills development, ensuring the principle [...]

Soma Zaidi