01Mwanafunzi

Safe support
Ongea Hub
Nafasi salama ya kuripoti changamoto kama unyanyasaji wa kijinsia, rushwa ya ngono, au masuala yanayohitaji msaada wa kitaalamu.
Pata MsaadaKilichomo
Kuhusu Ukurasa Huu
- Mtumiaji achague aina ya changamoto kwa faragha.
- Apate mwongozo wa hatua inayofuata.
- Aunganishwe na rasilimali au mtaalamu husika.
- Faragha, heshima, na usalama viwe mbele katika kila hatua.

Safari
Njia Kuu za Watumiaji
Chagua njia inayokufaa — kila safari ina hatua wazi kutoka mwanzo hadi matokeo.
02Mjasiriamali
Nataka kukuza na kutangaza biashara
- Jenga wasifu
- Sajili biashara
- Onesha bidhaa
- Pokea wateja
03Mtafuta fursa
Nataka ajira, ufadhili, au mafunzo
- Chuja fursa
- Soma masharti
- Omba
- Fuatilia majibu
04Mhitaji msaada
Nataka kuuliza au kuripoti changamoto
- Chagua Panda Chat au Ongea Hub
- Eleza suala
- Unganishwa na mtaalamu
