01Mwanafunzi

SMS learning
PandaSMS
Njia ya kujifunza na kujisajili bila intaneti au smartphone, iliyoundwa kwa watumiaji wa simu za kawaida.
Jisajili kwa SMSKilichomo
Kuhusu Ukurasa Huu
- Tuma SAJILI kwenda 0767 680 463.
- Pokea masomo mafupi na maelekezo kwa SMS.
- Endelea kwenye web app pale unapopata intaneti.
- Jifunze kwa njia inayokufikia ulipo.

Safari
Njia Kuu za Watumiaji
Chagua njia inayokufaa — kila safari ina hatua wazi kutoka mwanzo hadi matokeo.
02Mjasiriamali
Nataka kukuza na kutangaza biashara
- Jenga wasifu
- Sajili biashara
- Onesha bidhaa
- Pokea wateja
03Mtafuta fursa
Nataka ajira, ufadhili, au mafunzo
- Chuja fursa
- Soma masharti
- Omba
- Fuatilia majibu
04Mhitaji msaada
Nataka kuuliza au kuripoti changamoto
- Chagua Panda Chat au Ongea Hub
- Eleza suala
- Unganishwa na mtaalamu
