Ikiwa unataka kufuta akaunti yako na taarifa zako zote kwenye mfumo wetu, kwa sasa unaweza kufanya hivyo kwa kuwasiliana na kitengo chetu cha msaada (Support).
Tafadhali taja barua pepe uliyotumia kufungua akaunti na jina lako kamili ili tuweze kufanyia kazi ombi lako. Tutakushughulikia ombi lako na kufuta taarifa zako zote kikamilifu kwa mujibu wa sheria katika muda mfupi iwezekanavyo.
← Rudi kwenye Sera ya Faragha