preloader

Kila taarifa na habari kuhusiana na jukwaa la panda digital zinapatikana hapa.

Panda Chat
  • Mnufaika:Sakina
  • Muda:2023-08-28 11:29:37
  • Kuhusu:Nataka watu wakumbuke sauti yangu

Si mimi niliyetaka watu wanikumbuke. Ni sauti yangu. Zamani nilishindwa kushughulikia ukatili wa kijinsia wa mtandaoni, sitaki kufanya kosa hilo

Nataka watu wakumbuke sauti yangu

Wanufaika Wengine