preloader

Karibu kwenye jukwaa la Ongea Hub, sehemu ambapo msichana unapata nafasi ya kuripoti tukio la rushwa ya ngono na kuunganishwa na msaada

Ongea Hub

Taarifa yako ni muhimu sana hili ni jukwaa mahsusi kwaajili ya kuripoti kesi za udhalilishaji na kuunganishwa na msaada wa haraka

+255 734 283 34 info@pandadigital.co.tz

Dar Es Salaam
Tanzania