preloader

Katika eneo hili tunakuletea taarifa za fursa mbalimbali kama vile elimu bora, upatikanaji wa rasilimali, na mazingira yanayowezesha kujifunza na kukuza ujuzi.

fursa
  • Post:Mastercard AI StartUp Challenge 2024 ($150,000 Prize)
  • Date:2024-08-21 10:50:39

Mastercard AI StartUp Challenge 2024 ($150,000 Prize)

Mastercard Inakaribisha Startups Za Ubunifu Kutoa Mapendekezo Ya Suluhisho Bunifu Zinazotumia Teknolojia Ya AI (Akili Bandia) Katika Nyanja Za Usalama Wa Mtandao, Shughuli Za Kibenki Na Fedha, Usimamizi Wa Mzunguko Wa  Wateja, Uboreshaji Na Uzalishaji, Fintech, Na ESG.

Tuma Maombi Sasa

Mwisho Wa Kutuma Ni 25/8/2024

Fursa Nyingine

Chatbot

Need help? Ask Zuri