Pata msaada na mwongozo kutoka kwa wataalamu wetu wa ujasiriamali
Wataalamu Wote
Wataalamu wa Bure
Wataalamu wa Premium
6 Wataalamu
4 Wataalamu
Business Consultant and IT consultant
Dar es Salaam
solopreneur /freelancing/ tech content creator
Dar es Salaam
Panda Chat ni kipengele kipya kilichopo kwenye jukwaa la Panda Digital, kinachowakutanisha wajasiriamali wasichana na wataalamu mbalimbali ili kukabiliana na changamoto wanazokabiliana nazo katika biashara zao.
Wazo la kuanzisha lilitokana na ukweli kwamba kuanzisha biashara ni jambo moja, lakini kuendesha biashara inaweza kuwa changamoto tofauti kabisa. Kipengele hiki kipya kwenye jukwaa la Panda Digital kinawaleta pamoja wajasiriamali vijana wanawake na wataalamu mbalimbali ili kutatua changamoto wanazokabiliana nazo katika uendeshaji wa biashara zao.
Ufungue fursa nyingi za kuongeza ujuzi wako wa biashara na kupata suluhisho kwa changamoto zako za ujasiriamali.