Katika eneo hili tunakuletea taarifa za fursa mbalimbali kama vile elimu bora, upatikanaji wa rasilimali, na mazingira yanayowezesha kujifunza na kukuza ujuzi.
Post:WIA Young Leaders
Date:2023-07-24 12:59:03
WIA Young Leaders
Je, wewe ni mwanamke kijana mwenye uwezo wa Kuongoza? Je, unatafuta fursa ya kuongeza ujuzi na maarifa yako na kupeleka taaluma yako kwenye ngazi nyingine? Ikiwa ndivyo, karibu utazame programu ya @women_in_africa Young Leaders.