preloader

Katika eneo hili tunakuletea taarifa za fursa mbalimbali kama vile elimu bora, upatikanaji wa rasilimali, na mazingira yanayowezesha kujifunza na kukuza ujuzi.

fursa
  • Post:Tuzo Ya FINCA Ventures 2025  (Zaidi Ya Dola 100,000 Za Kimarekani Kushindaniwa
  • Date:2025-04-16 08:16:14

Tuzo Ya FINCA Ventures 2025  (Zaidi Ya Dola 100,000 Za Kimarekani Kushindaniwa

Je, Wewe Ni Mjasiriamali Kutoka Afrika, Na Una Wazo La Kipekee Linaloweza Kubadilisha Soko Na Kusaidia Kumaliza Umasikini Katika Kizazi Chetu?  FINCA Ventures Inakaribisha Kampuni Changa Kushiriki Katika Mashindano Ya Tuzo Za Ufadhili Wa Biashara Zilizo Katika Hatua Ya Awali Ya Maendeleo Ya Kibiashara. Ikiwa Ni Awamu Ya Pili Ya Tuzo Hizi FINCA Ventures Inakaribisha Wamiliki Wa Biashara Ndogondogo Kuweza Kushiriki Katika Shindano Hili.

Maelezo Zaidi: opd.to/3RcbAZ2
Mwisho Wa Kutuma Maombi: 30 Aprili
Kiungo Kinapatikana Kwenye Hadithi (Link In Stories)

#globalopportunities #opportunitydesk #goglobal

 

Fursa Nyingine

Chat Bot Muulize Zuri