Fursa ya kujifunza na kuendeleza ujuzi wako wa kidijitali
Mastercard Inakaribisha Startups Za Ubunifu Kutoa Mapendekezo Ya Suluhisho Bunifu Zinazotumia Teknolojia Ya AI (Akili Bandia) Katika Nyanja Za Usalama Wa Mtandao, Shughuli Za Kibenki Na Fedha, Usimamizi Wa Mzunguko Wa Wateja, Uboreshaji Na Uzalishaji, Fintech, Na ESG.
Mwisho Wa Kutuma Ni 25/8/2024
Mahitaji ya fursa hii yataonekana hapa baada ya kujazwa na mwenyeji.
Faida za fursa hii zitaonekana hapa baada ya kujazwa na mwenyeji.
Jisajili sasa na uanze kujifunza ujuzi wa kidijitali na kuendeleza biashara yako