Panda Digital
Tuzo Ya FINCA Ventures 2025   (Zaidi Ya Dola 100,000 Za Kimarekani Kushindaniwa
Iliundwa: 16 Apr 2025
Muda: Haijulikani

Maelezo

Je, Wewe Ni Mjasiriamali Kutoka Afrika, Na Una Wazo La Kipekee Linaloweza Kubadilisha Soko Na Kusaidia Kumaliza Umasikini Katika Kizazi Chetu?  FINCA Ventures Inakaribisha Kampuni Changa Kushiriki Katika Mashindano Ya Tuzo Za Ufadhili Wa Biashara Zilizo Katika Hatua Ya Awali Ya Maendeleo Ya Kibiashara. Ikiwa Ni Awamu Ya Pili Ya Tuzo Hizi FINCA Ventures Inakaribisha Wamiliki Wa Biashara Ndogondogo Kuweza Kushiriki Katika Shindano Hili.

Maelezo Zaidi: opd.to/3RcbAZ2
Mwisho Wa Kutuma Maombi: 30 Aprili
Kiungo Kinapatikana Kwenye Hadithi (Link In Stories)

#globalopportunities #opportunitydesk #goglobal

 

Mahitaji

Mahitaji ya fursa hii yataonekana hapa baada ya kujazwa na mwenyeji.

Faida

Faida za fursa hii zitaonekana hapa baada ya kujazwa na mwenyeji.

Tayari Kuanza Safari Yako?

Jisajili sasa na uanze kujifunza ujuzi wa kidijitali na kuendeleza biashara yako