
Soma kozi mbalimbali kama vile usimamuzi wa biashara, usimamizi wa fedha na ufanyaji masoko zitakazosaidia kukuza ujuzi wako ili kujiajiri au kuajirika
Pata taarifa kuhusu fursa mbalimbali zinazopatikana kutoka kwetu, kwa washirika wetu na sekta nzima ya maendeleo.
Unaweza kutangaza biashara yako kupitia jukwaa la panda digital na kufikia walengwa wako kwa njia sahihi ikiwa inahusana na elimu
Jukwaa maalumu kukuwezesha kuwasiliana na wataalamu na wazoefu kutoka sekta mbalimbali, kuuliza maswali na kupatiwa majibu ya kitaalamu kuhusu changamoto yako
Wanawake vijana wamesoma
Wanawake vijana wamejiunga na Panda SMS
Biashara za wanawake vijana zimekuwa za kidigitali
Wanawake wamefikiwa na kampeni za mitandaoni
Jukwaa la kwanza la kidigitali kwa lugha ya Kiswahili lenye lengo la kuwasaidia wasichana kupata ujuzi na rasilimali za kuanza na kuendesha biashara zao ili kunufaika uchumi wa kidigitali. Jukwaa hili linafahamika kama Panda Digital likiwa na maana ya kupanda mbegu ya kujitegemea kiuchumi kwa kutumia majukwaa ya kidigitali. Hii ni njia inayowakusanya wasichana wote wajasiriamali na kuwapa nafasi ya kuchagua fursa mbalimbali zinazoendana na mahitaji yao kama vile ufadhili, fursa na mafunzo. Jukwaa hili linatumia mfumo mseto wa uwasilishaji ili kunufaisha wasichana wa makundi tofauti mijini na vijijini.
Fahamu Zaidi
Je, Wewe Ni Kijana Mbunifu Unayetafuta Njia Ya [...]
Nestlé Youth Entrepreneurship Platform ( [...]
Je, Wewe Ni Mjasiriamali Kutoka Afrika, Na Una [...]