Panda Digital - Empowering Women in Digital Economy | Digital Skills & Business Opportunities
Panda Digital
"Owen Bariki: Safari Ya Kufanikiwa Katika Ujasiriamali Kupitia PANDA SMS"
Iliundwa: 13 Mar 2024
Mwanufaika: Owen Bariki

Maelezo

Safari Ya Kibiashara Ya Owen Bariki Haijawahi Kuwa Bila Changamoto Zake. Kutumikia Masomo Yake Katika Mawasiliano Ya Umma Katika Chuo Kikuu Cha Tumaini Na Ndoto Zake Za Biashara Kulikuwa Kitu Kikubwa Sana. Lakin I Haiukuwa Rahisi Kwake, Aliitambua Haja Ya Kupata Njia Rafiki Ya Kujifunza Ambayo Itamsaidia Katika Safari Yake Ya Kuendeleza Ujuzi Wa Ujasiriamali Wakati Bado Anasoma.

 

 

 

 

Kupitia Kampeni Zetu Za Kuhamasisha, Alikutana Na Jukwaa La PANDA SMS. Jukwaa Hili Lilimpa Njia Rahisi Ya Kujifunza, Hasa Bila Haja Ya Kuwa Na Intaneti.

Katika Kipindi Cha Miezi Mitatu, Owen Alijifunza Kozi Mbalimbali, Akipata Maarifa Yanayolingana Na Kufikia Malengo Ya Milenia. Kozi Ya Masoko Ya Kidigitali, Kwa Mfano, Ilimwezesha Kufikia Hadhira Yake Kwa Ufanisi. Sasa, Biashara Yake Inastawi, Ameweza Kupata Wateja Zaidi Na Wafuasi Kwenye Majukwaa Ya Kidigitali Haswa Instagram Akiongeza Zaidi Ya 50% Ya Wafuasi Aliokuwa Nao Mwanzo.

 

Hadithi ya Mafanikio

Owen Bariki alifanikiwa kupitia jukwaa la Panda Digital na sasa ana biashara yake ya kidijitali inayofanya vizuri.

Kupitia kozi na mafunzo aliyopata, Owen Bariki alijifunza ujuzi muhimu wa kidijitali na sasa anaweza kujitegemea kiuchumi.

Tayari Kuanza Safari Yako?

Jiunge na jukwaa letu na uanze safari yako ya mafanikio

Anza Kozi Tazama Fursa

Tayari Kuanza Safari Yako?

Jisajili sasa na uanze kujifunza ujuzi wa kidijitali na kuendeleza biashara yako