Je, Wewe Ni mjasiriamali Chipukizi Au Msanii Mwenye Maono Na Mradi Akilini? Je Una Umri Kati Ya Miaka 18 Na 35? Chukua Fursa Sasa!
Shinda Sehemu Ya $300 Na Mafunzo Ya Biashara Ya Bure Kwa Wiki 3 Na Vyeti Katika Mpango Wa EDP Kwa Afrika.
Tuma Maombi Ya Ruzuku Ya Biashara Ya EDP Kwa Afrika 2024
Maelezo: https://opportunitydesk.org/2024/06/20/edp-for-africa-business-grant-2024/
| Mwisho Wa Kuwasilisha Maombi: Juni 30