preloader

Katika eneo hili tunakuletea taarifa za fursa mbalimbali kama vile elimu bora, upatikanaji wa rasilimali, na mazingira yanayowezesha kujifunza na kukuza ujuzi.

fursa
  • Post:International Gender Champions 2024
  • Date:2024-03-28 08:44:05

International Gender Champions 2024

Mpango Wa Kutengeneza Vijana Vinara Wa Masuala Ya Kijinsia Wa Kimataifa (International Gender Champions) 2024

Programu Hii Ni Juhudi Ya Majaribio Ya Miezi Sita Iliyoundwa Kwa Ajili Ya Wanaharakati Chipukizi Wanaofanya Kazi Kuelekea Usawa Wa Kijinsia Ili Kupata Ushauri Nasaha Na Kuongeza Nguvu Ya Kupaza Sauti Zao.

Maelezo: Opd.to/3IOhmvK | Mwisho: Machi 31

Fursa Nyingine