
Nestlé Youth Entrepreneurship Platform (YEP) Ni Jukwaa La Kidijitali La Kimataifa Lililoanziswha Kwa Ajili Ya Vijana Wenye Nia Ya Kua Wajasiriamali. Kupitia YEP, Vijana Wanapata Fursa Ya Kujifunza Bure, Kupata Ushauri Kutoka Kwa Wataalamu, Kushiriki Kwenye Matukio Na Mashindano Ya Kibunifu, Pamoja Na Msaada Wa Miundombinu Unaowawezesha Kugeuza Mawazo Yao Kuwa Miradi Halisi.
YEP Talk: Jinsi Ya Kuanza Na Kujenga Biashara Yako Barani Afrika
Webinar Inayopatikana Muda Wote Ikitoa Ushauri Kutoka Kwa Wajasiriamali Wa Hali Ya Juu.
Nestlé Always On Challenge
Tuma Wazo Lako La Kipekee Kuhusu Ubunifu Katika Sekta Ya Chakula, Muda Wowote Ndani Ya Mwaka
Sajili Akaunti Yako bure Na Uanze Safari Yako Ya Ujasiriamali Leo
Inapatikana Kwa Vijana Kutoka Sehemu Yoyote Duniani
Jisajili Hapa: https://www.nestleyouthentrepreneurship.com