Katika eneo hili tunakuletea taarifa za fursa mbalimbali kama vile elimu bora, upatikanaji wa rasilimali, na mazingira yanayowezesha kujifunza na kukuza ujuzi.
Post:Anzisha Prize 2023 for Young Entrepreneurs ($5000)
Date:2023-07-24 13:00:02
Anzisha Prize 2023 for Young Entrepreneurs ($5000)
Fursa kwa wajasiriamali!!! Tuzo ya Anzisha ni mpango wa ushirika ambao umekuwa ukiwatetea wajasiriamali wachanga kwa zaidi ya miaka 10.