preloader

Katika eneo hili tunakuletea taarifa za fursa mbalimbali kama vile elimu bora, upatikanaji wa rasilimali, na mazingira yanayowezesha kujifunza na kukuza ujuzi.

fursa
  • Post:“Emerging Leaders For Change Program”
  • Date:2024-04-05 12:18:37

“Emerging Leaders For Change Program”

Je Wewe Ni Mtetezi Wa Usawa Wa Kijinsia Au Maswala Ya Afya Ya Uzazi Kwa Wasichana. Tuma Maombi Yako Kujiunga Na Programu Ya “Emerging Leaders For Change Program” Kwa Ukanda Wa Afrika Mashariki, Maombi Kufunguliwa Kuanzia Tarehe 15 April.

Nchi Zinazostahiki: Burundi, Ethiopia, Kenya, Rwanda, Tanzania Na Uganda. 

Kundi La Umri; Miaka 15-29. 

Maeneo Ya Kuzingatia; Bima Ya Afya, Hali Ya Hewa, Na Kupinga Harakati Dhidi Ya Haki.

Soma Maelezo Zaidi;

https://www.instagram.com/women_deliver/?e=c511c01d-d2a2-41fc-89cb-532e96d054c7&g=5 

 

 

Fursa Nyingine