MPANGO WA ELIMU YA BIASHARA MTANDAONI BILA MALIPO
Jiunge Na Mafunzo Ya Biashara Katika Ulimwengu Wa Digitali Na Upate Nafasi Ya kujiunga Na Jumuiya Ya Wanafunzi Wa Kimataifa Ya Goldman Sachs 10,000 Women
- Kozi Kumi Zinazohusu Nyanja Zote Za Kuendesha Biashara
- Kozi Tatu Za Ziada Za Kuchaguliwa Zinazokamilisha Vipengele Muhimu Vya Mkusanyiko Wa Kozi Kumi Kuu
- Chukua Kozi Yoyote, Au Mchanganyiko Wa Kozi
- Elimu Kwa Vitendo Na Shughuli Shirikishi Kutoka Kwa Wataalamu Wa Ujasiriamali
- Wanafunzi Wanaostahiki Wanaomaliza Kozi Zote Kumi Wataalikwa Kujiunga Na Jumuiya Ya Wanafunzi Wa Kimataifa Ya Goldman Sachs 10,000 Women
- Kozi Zote Kumi Zinapatikana Katika Lugha Kihindi, Kireno Cha Brazil, Na Kihispania Cha Amerika Ya Kusini.
Kujiandikisha Ni Rahisi- Chagua Tu Kozi Unayotaka Kuanza Na Uchague ‘Jisajili Bila Malipo’
Je Huna Uhakika Ni Kozi Gani Ya Kuanza Nayo? Jaribu Maswali Yote Rahisi Na Ujue’ Ni Kozi Gani Ya Biashara Iliyo Bora Kwako?
Bofya Kiunganishi Hapo Chini Kujisajili
https://www.coursera.org/collections/goldman-sachs-10000-women